Wanasayansi nchini China wamefanya utafiti na
kugundua kuwa unywaji wa chai ya moto mara kwa mara unaweza kusababisha
saratani ya koo.
Kwa mujibu wa makala
iliyochapishwa katika jarida la Annals of Medicine Internal, hali ya
afya na tabia ya kula ya watu 456,155 kati ya umri wa miaka 30-79
ilichunguzwa wakati wa utafiti huo.
Utafiti umefanywa ndani ya miaka kumi.
Imebainika
kuwa watu amabo hunywa mara kwa mara chai ya moto au gramu 15 za pombe
wana uwezekano mkubwa zaidi wa kupata saratani ya koo,mara tano zaidi ya
asiyekunywa.
Na kwa wavuta sigara,kuna uwezekano wa wao kupata ugonjwa huo mara mbili ya mtu asiyevuta sigara.
0 maoni: