Tafuta katika Blogu Hii

Alhamisi, 15 Februari 2018

DKT. SLAA APANGIWA UBALOZI SWEDEN, KUAPISHWA LEO IKULU


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 16, 2018 saa 3 asubuhi atawaapisha Dkt. Wilbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na Muhidin Ally Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria.


0 maoni:

Machapisho Maarufu