Tafuta katika Blogu Hii

Alhamisi, 15 Februari 2018

Baada ya kuachana na Zari,Yasemekana Diamond kahamishia penzi Lake Kwa uyu Mrembo


inasemekana Diamond baada ya kuachana na Zari sasa Diamond kuendeleza penzi lake kwa wema sepetu ambaye waliachana kitambo kabla hajampata Zari. Diamond na Wema wamekuwa wanaachana na kurudiana kila wakati.

0 maoni:

Machapisho Maarufu