Tafuta katika Blogu Hii

Alhamisi, 15 Februari 2018

Hii Ndio List ya ‘Michepuko’ aliyoipitia Diamond wakati yupo na Zari!


Habari za Diamond na Zari kuachana bado zinatawala kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakiwa wameshtushwa kusikia kuwa couple iliyokuwa inapendwa na mashabiki zao imevinjika.
Baadhi ya michepuko ambayo inasemekana kuchangia kuvunja uhusiano wa Diamond na Zari ni hawa hapa:
1. Hamisa Mobetto
2. Irene / Officiallyn Irene na Diamond wametajwa kuwa na mahusiano kwa muda mrefu sana tangu alipotokea kwenye video ya kwetu ya Rayvanny
3. Shady Huyu ni mwanamitindo kutoka nchini Rwanda
4. Mia Mwezi uliopita kuna video ilisambaa mtandaoni ambayo ilimuonyesha Mia akiwa Madale
5. Tunda huyu anajulikana
6. Wema Sepetu alikuwa anakuja madale kila weekend

Maoni 2 :

  1. Mastaa wengi ni malaya wa kutisha.Hivyo Diamond kama staa anaendeleza tu jadi yao.Big up Diamond kwa kuwakula wote hao.Kaza buti.

    JibuFuta
  2. Mastaa wengi ni malaya wa kutisha.Hivyo Diamond kama staa anaendeleza tu jadi yao.Big up Diamond kwa kuwakula wote hao.Kaza buti.

    JibuFuta

Machapisho Maarufu