Nimeolewa nina mtoto mmoja, mme wangu anapenda sana kushika shika
makalio yaani akiona niko mtupu tu basi bora anishike hata makalio
aridhike, sikuogopa nilijua mwili wangu ni haki yake nikawa namuwachia,
tukilala tu, anaweka mkono kwenye makalio ndio usingizi unampata
alizowea hivyo.
Yaani hata tugombane vipi tukilala tu anaweka mkono wake kwenye makalio
kwa juu kila nikishtuka nakuta mkono, ILA HAKUWAHI KUNIAMBIA HABARI ZA
KIINGILIA KINYUME CHA MAUMBILE
Aliniheshimu sana wala hata sikuwahi kuhisi kama ana mtu nje yaani hata
wazo sikuwa nalo maana unawezashinda na simu yake usione chochote, hata
upekuwe vipi hukuti chochote, saa moja yupo nyumbani, weekend hatoki,
yaani amani tupu, sasa kuna kipindi.
AKAANZA TATIZO LA KUTOSIMAMISHA
Ikawa akifika asubuhi anakuwa ha hamu kabisa, naamimi nakuwa na hamu
sana, lakini inakuwa imesimama kidogo sana,basi naichezea naigusisha
baadae kabisa ndio inasimama anaingiza, akiingiza unakuta katikati ya
mapenzi inalala tena kwahiyo nakuwa sijakojoa yeye analalamika tu
anaumia sana hasa sehemu za korodani.
Basi ilichutukua kama wiki kwa hali hiyo nikawa najitahidi kumset mind
yake kuwa free nikawa namuuliza labda hali hii iliwahi mpata ujanani
akasema hapana, nikawa namuuliza sasa inakuwaje unawaza nini isijekuwa
una mawazo, akasema hapana sina mawazo nikamwambia haya niambie basi
nini shida, twende hospitali akasema kesho nina dr, rafiki yangu Aga
khan nitakwenda kumuona, basi ikaisha.
Kesho yake akaja na dawa kama ungaunga kwenye kakopo, nikamuuliza hii dawa ya hospitali kweli?
Akasema hapana kuna staff mwenzangu nae tatizo hili lilimpataga akanywa
dawa hii ya kimasai, unamix na maji ya moto, alikunywa kichupa kile
aliuziwa 120,000 alikunywa kikaisha uwezo wa kusimama ulikuwepo, lakini
hafiki mwishoni inalala kabisa inakuwa ndogo.
Nikauliza au ni ngiri? akasema hapana.
Hali iliendela hivyo kuna siku nilishtuka sana nilikuwa nafua chupi
nikatoa nimfulie na yeye, nikakuta vitu kama usaha umejaa kwenye chupi
yake nilishtuka sana sikufua nikaiweka pembeni, nikamsubiri aliporudi
nikamuliza huko chini unatoa nini?
Mimi ni mke wako natakiwa kujua uume wako unatoa nini maana ni mali
yangu na haki yangu kwanini unaniogopa hata kama unaumwa tena ni vizuri
mkeo akijua ajue anakuhudumiaje, niambie kweli, akasema mie sijui, naona
tu kuna vitu vinatoka vyamoto vyeupe nikamuuliza vimeanza lini, akasema
siku ya tatu leo.
Nikakumbuka kweli siku hizo zote chupi zake alifua mwenyewe nikamwambia
sasa kwanini husemi, unakaa kimya, isijekuwa magonjwa ya zinaa akasema
niyaote wapi mke wangu, nikamwambia twende hospitali aligoma kwenda na
mimi, nilimsimulia rafiki yangu akaniambie niende nikapime mimi maana
ushirikiano mme hana.
Nilienda regency nikapima nikaambiwa niko salama salmin sina chochote
kile isipokuwa kuna kigozi waliniingiza wakasema kesho yake nifate
majibu, nilirudi nikaambiwa kipimo kile pia kinaonyesha niko mzima
nikasema asante Mungu.
Ilienda hivyo niliamua kumuacha maana hataki kushirikiana na mimi kabisa.
Kila nikiuliza anaficha ficha siku hiyo usiku nimelala nikasikia mtu
analia, nikaamka nikakuta analia huku ameshika nyeti zake analia kwa
uchungu sana.
Nilitazama saa ilikuwa saa sita, mie huwa siwezi kuendesha usiku,
nikamuita rafiki yake akaja tukampakie hao hadi agakhan njia nzima
analia hawezi hata kukaa wala kukunja kiuno yaani ilibidi nikae nyuma na
yeye anilalie analia kama matoto, kwa mara ya kwanza nilishuhudia
machozi yake na sauti ya kilio
nikajikuta namhurumia nalia na mimi.
Akaniambia mke wangu nishike huku, nipuulize, naumia nishike shike mama naumia analia sana, nikamwambia niambie basi.
Kama uliiba mke wa mtu twende ukaombe msamaha, ona sasa hueleweki
unaamua nini, wakati huo imesimama mishipa yote imeonekana kuvimba yaani
niliogopa sana, nilimvisha bukta laini tu maana chupi ingemuumiza sana.
Tulipokelewa akaingizwa kwa Daktari cha ajabu kufika pale akawa anataja
jina la daktari anaemtaka yeye wakasema hayupo akanipa simu akaniambia
chukua namba jina limeandikwa dokta...........................(jina la
dokta kapuni yeye kataja mimi admin nimelificha) akasema yeye ndio
anajua issue yangu, nikasema issue gani?
Akasema wewe mwambie huyo, wakati nataka kumpigia rafiki yake akasema
mwambie hapatikani, anaficha nini huyu jamaa katika hali hii, nikamfata
nikamwambia hapatikani yeye analia tu, yule dokta, mwingine akasema acha
nikuhudumie mimi.
Akaingia nae chumba cha daktari, sijui ilikuwaje baadae nikaona tu
anavutiwa kwenye kitanda anapelekwa wodini, nikaambiwa analazwa, dokta
akaniita ofisini akaniuliza huyu ni nani yako, nikasema mme wangu.
Akasema okay, wa ndoa? nikasema ndio, akauliza mna watoto nikasema ndio,
akasema okay wangapi, nikasema mmoja wa mwaka mmoja akasema okay, sasa
wewe ni mtu mzima ukae hapo na naomba unijibu maswali yangu vizuri ili
nijue nakusaidiaje, usiogope usinionee aibu, wewe na mumeo huwa mnafanya
mapenzi kinyume na maumbile?
Nilishtuka nusu nianguke kwenye kiti, nikasema nini dr? akasema
nakuuliza huwa anakufanya kinyume na maumbile? nikasema no akasema
ugonjwa alionao umekuwa sugu na inaonyesha ni mchezo wake wa siku nyingi
sana hadi kufikia hatu mbaya hivi.
Nikaanza kuvuja jasho, mwili ukaishiwa nguvu macho yakanitoka vinyweleo
vikanisimama dr, aliona hali yangu imebadilika ghafla akaniambia tulia
nijibu ili nikupime na wewe yawezekana unaumwa, haiwezekani hali hii iwe
hivi kwake wewe ukawa mzima, nikasema no mimi hajawahi kunifanya nyuma
wala kuniomba hiyo kitu.
Daktari naapa kwa Mungu mmoja na nimepima juzi juzi tu niko salama,
akasema naomba nikupime na mimi, sikubisha akanipima, wakati vipimo
vinashughulikiwa nikawa namuuliza sasa mme wangu mwisho wake unakuwa
nini.
Akaniambia wagonjwa wa hivi tunawapokea sana siku hizi, sijui huu mchezo
wameutoa wapi hata kuvaa condom wanasahau, hawajui madhara yake na
ukiwaambiwa hawakuamini, sasa huyu wako kuna kipimo nimechukua, na pale
tuliharibu wakati anaumwa hakutakiwa kufanya wala kujaribu hata kidogo
alitakiwa apate matibabu mapema bila kufanya chochote kile mishipa
imeziba, uchafu umeingia kwa ndani, kwahiyo watamfanyia operation ya
kumpasua ili kusafisha na akitoka hapo uwezekano wa kupona ni mkubwa ila
uhakika wa kusimamisha ni mdogo sana wamfanyie operation.
Nikasema dr kweli unahikia ni kwa ajili hiyo? akasema niko kwenye hii
kazi zaidi ya miaka kumi, jinsi kulivyo na vinavyotoka ni dalili
mojawapo kabisa hata sijachukua majibu ya vipimo, ila tulia,
usimharakishe na maswali huyu anatakiwa kufanyiwa operation usiku
huuhuu, hali yake sio nzuri, niliishiwa nguvu nilitamani nimfate kule
chumbani nikamuulize huwa unamuingilia nani?
Kivile niliogopa sana nikaanza kulia sana nawaza anapasuliwaje halafu
inakuwaje, nililia sana lakini shemeji yangu alinipa moyo kwamba
tumuombee, niliomba tu mungu amsamehe ila amponye.
Sisi tulikuwa nje kwenye gari yaani sikuwa sawa kabisa, wakaanza
kumuandaa hadi kufika saa kumi na mbili wakamuingiza kumfanyia, akatoka
mida ya saa tatu.
Hajielewi kabisa, akalazwa, nikaitwa nikawa naelekezwa namna ya kumuhudumia.
Ilinipa ugumu sana kuwataarifu wengine maana wangejua kilichotokea kwake
nikasema sisemi kwa mtu yeyote kama mme wangu anaumwa hata kwa mama
yake sisemi ntauguza peke yangu akinifia tutajua mbele ya safari.
Hata rafiki yangu sikumwambia, ila yule shemu wangu niliwambia asiseme kokote nashukuru hadi leo hii sijasikia kokote.
Niliuguza mgonjwa wangu akapona kabisa ila aliambiwa haruhusiwi kufanya
awe anatumia dawa na anarudi hospitali ili kuchekiwa akiwa tayari ndio
watamwambia.
Nilishindwa kuvumilia kurudi hadi home ndio niulize, nikamuuliza
hospitali, wewe unajua unaumwa nini, akasema ndio mke wangu ni uchafu
umeziba nikamuuliza.
Jalala hilo? sema kinyesi ndio kimeziba ya hao unaowawafanya, sasa
unaruhusiwa leo nakurudisha kwako salama salmin nakuacha mzima kabisa
naondoka na mwanangu.
Siwezi kuishi na wewe hadi useme unamfanyaga nani?
Akasema hakuna kitu kama hicho, akakomaa nikasema poa dr, muongo,
tuliruhusiwa hao hadi nyumbani, kufika nyumbani alijua natania,
nilimuogesha mwanangu nikamwambia dada ajiandae, na mabegi ya nguo
nikachukua funguo zangu, hao kwenye gari, nikamwambia naondoka.
Ukitaka nirudi sema kweli ulikuwa unamfanya nani, niliwasha gari na kuondoka zangu na mwanangu na dada wa kazi.
Nilikwenda kijichi kwa rafiki yangu, alipiga sana simu yangu sikupokea
baadae mama yake akaanza kunipigia nikamwambia mama muulize sababu ya
mimi kuondoka mwambie aseme mwenyewe kwako, mimi sisemi na niko serious,
kweli sikusema nikakata simu, usiku kama saa nne akanipigia simu
akasema yuko tayari kusema kweli, nirudi nikamwambia nitakuja asubuhi
akakataa akasema nirudi usiku ule ule nikasema siwezi drive usiku mimi,
akasema nichukue tax atalipa.
Nilizima simu nikalala kwa rafiki yangu asubuhi akapiga tena, nikaenda
niliacha watoto na dada huko kijichi, nilipofika tu nikamkuta kaka peke
yake, akaanza kulia anasema nimsamehe, mateso aliyopata huyu bwana
yalimtosha alikua akikojoa kwenye mrija ulioingizwa huko chini, alikuwa
analia kama mtoto, yaani alikonda ndani ya wiki alikuwa anateseka
akianza kukojoa ananiita ananishika kwa nguvu anang'ata meno ndio
anakojoa aliteseka vya kutosha aisee hadi nilimuhurumia.
Basi nilivyoenda akaanza kulia mke wangu nisamehe nikamwambia niambie
uli**** nani akanitajia ni dada mmoja hivi, mfanyakazi wa bank(jina
kapuni by admin).
Nikamuuliza ulianza lini?
Akasema siku nyingi, naomba nisamehe nilianza kabla sijakuoa hata wewe,
ilia niliapia mke wangu nitamheshimu sitamvunjia heshima, ndio maana
niliamua kufanya huko, nikamwambia uliniheshimu asante lakini hukuogopa
magonjwa? heshima iko wapi hapo, je tungekutwa tumeathirika ungeniambia
nini? mie mwenzio nishapima kila kitu mzima, haya wewe umepima? akasema
nisamehe kwanza hatarudia na akirudia niondoke nilimhurumia kwakuwa
nampenda sana, nikasema namsamehe na aibu nitamfichia ila huyo mwanamke
nitamtafuta nimwambie tu aache.
Nilikubali kumsamehe kwa sharti la kutofanya chochote hadi akapime kwanza.
Tulikwenda hadi hospitali akapima alikutwa negative, wakati anajisubiria
maana alikatazwa sex kabisa kwa kipindi hicho, utulikaa miezi mitatu
bila kufanya chochote kile, tukarudi tena hospitali wakapima yuko
negative, tukarudi home bado hakuruhusiwa kusex, ilifika miezi mitano
kasoro nikaitwa na yeye hospitali tukaelekweza how can we sex kwa
kipindi cha mwanzo kutuokana na hali yake.
Ilichukua muda sana kufanya kawaida mwanzoni alikuwa anaishia njiani au
hakojoi kabisa, niliambiwa kwa upande wao madokta wamemaliza jamaa yako
fresh kazi ni kwangu kumuandaa, kumuweka sawa ili aperform maana
imeathiri hadi kichwa chake, nilikuwa na hasira sana mwanzoni, mwisho
nilimhurumia kwakweli maana nampenda, nikawa najitahidi kumpa upendo
wangu wote,namuweka karibu sana.
Ilisaidia sasa hivi yuko vizuri tunaenda kama kawaida na sasa niko na mimba, ya miezi mitano.
Back to the lady from bank,
Nilifunga safari hadi ofisini kwao, nikamuulizia nikamkuta, akaja
kuniona, kabinti kazuri huwezi kuamini admin mdogomdogo mzuri sana
anaonekana mstaarabu sana nilishangaa yeye ananijua mimi simjui,
alishtuka kuniona nikahisi, ananijua nikamuuliza do you know me? akasema
no oh yess nikamwambia yes or no! akasema yes ni
mrs...................... nilishikwa hasira hapo hapo nilimuwasha kibao
paaaaa!
Waliokuwepo karibu waliona, yule dada mwenyewe akanishika mkono
tukaongelee nje maana wengi walikuwa hawajashtukia kila mtu yuko busy,
waliona wachache waliokuwa karibu ila kuna staff mwenzie aliona.
Nikamwambia kwanini umemtesa hivi mme wangu, kwanini unampa makalio wako
mchafu mme wangu hadi kummpa matatizo makubwa vile, kwanini usitulie
ukapata wako mbona wewe bado mdogo sana, wakati tunaongea akawa anasema
dada naomba tuongee jioni hapa ofisini watasikia nikamwambia nikitoka
hapa naingia kuonana na bosii wako.
Nimwambie kaajiri mashetani humu, akatoka mdada mwingine, sie yule alietuona, akamuuliza .................... vipi kwema?
Nimeambiwa nitoke nje kuna mtu amekupiga nani? akasema hakuna
alienipiga, nikamwambia mimi nimempiga njoo ujue sababu, yule binti nusu
akimbie, akaniambia niko chini ya miguu yako naomba tuongee baadae.
Mwenzie akaja akaniuliza chanzo nikamwambia aseme mwenyewe binti alilia
kama kapokea msiba, anasema tu nisamehe nitakutafuta nikamwambia.
Jioni unitafute mwenyewe ikibidi njoo kwangu maana unapajua, jiulize
hapa nimefikaje, jina nimepataje, mnasahau kuwa hampendwi nyie
mnachezewa tu, tazama sasa karudi kwangu kwa heshima na adabu zote,
nimempokea mikono miwili, kanielekeza hadi kwenu hadi unapoishi hadi
wazazi wako nimeelekezwa umeharibiwa makalio hayo, mie wangu uko na
adabu zake namuhurumia atakaekuja kukuoa... nitafute mwenyewe,
niliondoka kwa hasira sana nikaanza kulia kwenye gari, kweli alinipigia
saa kumi na mbili akiulizia kama tunaweza kuonana sehemu nyingine sio
nyumbani, nilikuwa na hasira nikasema nitamuua nipate kesi, nililia sana
niakamwambia nitakutafuta niko mbali, sikumtafuta kama wiki hivi yeye
ndio alikuwa akinitafuta na kunitext sms za kuomba radhi nimfichie
ufirauni wake.
Niliingia kwenye maombi, nikaomba sana mungu anisamehe nami nawasamehe
walionikosea, nilimwambia yule binti kwamba basi nimemsamehe, mme wangu
nilisamehe, hadi leo niko nae.
Dah hii kali sana nimejifunza kitu lakini sasa mie mwenyew moenzi wangu jaman ananilazimisha kila sku nimfanye kumbe kuna madhara hivyo mi wangu nitaachana nae maana nimechik usumbufu wake
JibuFutaDah kumbe ASANTE kwa kitufungua akili asante dd
JibuFuta