kikosi cha Majimaji
kitakuwa na ukosefu wa wachezaji 7 watakaoikabili Yanga, katika
mchezo wa Kombe la Shirikisho siku ya kesho,
Kocha
wa timu hiyo, Habibu Kondo, amesema timu hiyo watalazimika kutumia kikosi cha pili ili
waweze kupambana na yanga, baada ya
kuwakosa wachezaji hao.
Akizungumza
na waandishi wa habari, Kondo amesema wachezaji hao wamepumzishwa
kutokana na masuala mbalimbali ya kinidhamu kuwakabili.
"Itatubidi
tuingize wachezaji watano wa kikosi cha pili, sababu katika kile cha
kwanza, jumla ya wachezaji saba hawatokuwepo" alisema Kondo.
0 maoni: